Naomba kwa bidii, kwa huruma ya Elohim, kwamba mtoe miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, iliyotengwa kwa ajili ya Elohim na inayompendeza; hii ni kumwabudu kwa busara.
Wala msiifuatishe mfano wa ulimwengu huu, bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kupendeza, na ukamilifu.

Nenhum comentário:
Postar um comentário